Dira (Vision) | |
Kuwa ni Taasisi inayojitegemea na inayoheshimika; yenye uwezo wa kutosha wa kutoa huduma za | |
uchaguzi kwa welidi na ufanisi ambayo italeta imani kwa wadau | |
Dhamira (Mission) |
|
Kutoa huduma za kiuchaguzi zinazoaminika kwa kufanya mapitio ya mipaka ya majimbo ya uchaguzi | |
kwa wakati unaostahiki, Kuendeleza Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, kuendesha elimu ya wapiga | |
kura na kukuza dhana ya ushirikishwaji wa wadau katika shughuli za uchaguzi. | |
Misingi ya Uwajibikaji (Core values) |
|
Misingi Mikuu ya utendaji ya Ofisi ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ni Uhuru, Heshima, Uadilifu, | |
Uwazi, Uwajibikaji, Ukweli na Uweledi katika kufanikisha shughuli za Uchaguzi. | |