Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi ya Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kundi la Waangalizi wa Uchaguzi wa Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo mwishoni mwa mwaka 2018 Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Hamidi Mahmoud Hamidi akiwa katika mkutano na waangalizi wa kundi hilo .