Tume ya uchaguzi ya Zanzibar inajukumu la kusimamia, kukuza na kuratibu elimu ya wapiga kura kwa mujibu wa sheria ya Uchaguzi Nam.4 soma zaidi>>>
Maeneo ya kupigia kura katika majimbo mengi ya uchaguzi yamo katika majengo ya umma kama vile skuli, kumbi za kijamii au Ofisi za Mamlaka za Serikali za Mitaa.
Mfumo wa uchaguzi unaotumika katika kuchagua Rais, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Madiwani ni wa mgombea anayepata kura nyingi kuwashinda wagombea wengine ndiye huwa mshindi
Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), imezindua Kamati ya Uratibu wa Elimu ya Wapiga Kura na Vyombo vya Habari ili kuhakikisha Elimu ya Wapiga Kura inawafikia wananchi wote Mjini na Vijijini....
Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar waridhishwa na hatua ya ujenzi wa jengo jipya la tume hiyo ambao unajengwa na kampuni ya CRJE. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Tume...
Na Ahmed A. Mohammed= ZEC Tume ya Uchaguzi ya Serikali ya Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari ya Aboud Jumbe Mwinyi imepatiwa Elimu ya Wapiga Kura na Tume ya Uchaguzi ya...
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, amewataka wakandarasi waliopewa ujenzi wa miradi ya maendeleo hapa nchini kuhakikisha wanaheshimu mikataba ya makubaliano. Mhe.Hemed Suleiman Abdulla alieleza hayo jana wakati alipofanya...
Wapiga Kura Wapya 44,595 wamepatiwa vitambulisho vya Kupigia Kura Unguja na Pemba kwa zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura Wapya. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar...
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar imetoa wito wa kuvumiliana miongoni mwa wanafunzi katika Uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Tawi la Zanzibar (Karume...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Sera Uratibu na Baraza la Wawakilishi Mhe.Hamza Hassan Juma ameishauri Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar kuendeleza mashirikiano katika Ujenzi wa...
Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) imepongezwa kwa utoaji wa Elimu ya Wapiga Kura kwa Taasisi mbali mbali jambo ambalo linakuza Demokrasia nchini. Pongezi hizo zimetolewa na viongozi wa Vyuo...
Tume ya Uchaguzi Zanzibar
S.L.P 1001 - Zanzibar, Tanzania.
Simu: +255 242231489
Nukushi: +255 242233828