NA AHMED A. MOHAMMED-ZEC

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji George Joseph Kazi na Wajumbe sita wa Tume hiyo pamoja na Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Ndugu.Thabit Idarous Faina na baadhi ya Wakuu wa Kurugenzi na Divisheni,Septemba 7,2023, wamekutana na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud katika Afisi zake Mkokotoni, Kaskazini Unguja.

Hayo yamejiri wakati Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC) Akiendelea na ziara yake ya Kukagua Afisi za Tume hiyo Mkoani humo.

Mawasiliano Yetu


Tume ya Uchaguzi Zanzibar

S.L.P 1001 - Zanzibar, Tanzania.

Simu: +255 242231489

Nukushi: +255 242233828

Mitandao ya Kijamii