Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Mhe: Jaji Mkuu (Mst.) Hamid Mahmoud Hamid akitangaza Majimbo ya Uchaguzi kwa Uchaguzi Mkuu wa 2020 katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika ukumbi wa Ofisi ya Mamlaka ya Udhibiti wa huduma za maji na nishati Zanzibar (ZURA) tarehe 02 Julai 202

Kupata Mgawanyo wa Majimbo hayo Bonyeza hapa

Mawasiliano Yetu


Tume ya Uchaguzi Zanzibar

S.L.P 1001 - Zanzibar, Tanzania.

Simu: +255 242231489

Nukushi: +255 242233828

Mitandao ya Kijamii