|
Tamko la Dira la Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar: Kueleweka kwa kuwa na uadilifu mzuri wa kusimamia chaguzi zisizokuwa na upendeleo wa kisiasa
Tamko la Lengo la Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar: Kuwa na daftari sahihi la Wapiga Kura, kutoa taarifa na elimu yenye manufaa kwa wapiga kura na kuendesha chaguzi huru, za haki, zinazokubalika na zenye gharama nafuu |